M’MBONDO-AFRIQUE DU SUD :kijana wetu wa kibembe âme uwawa kwa visu hapo kwa jina la Amos Elengabo

Écrit par sur janvier 1, 2019

M’MBONDO-AFRIQUE DU SUD : FAMILIA YA ELENGABO inayo masikitiko makubwa kwa msiba wa kijana wetu wa kibembe kwajina la Amos Elengabo. Aliye vamiwa na majambazi jana usiku huko AFRICA KUSINI. Amos Abekya Wa Elengabo Amepigwa visu jimboni Philipi akitokea kwenye starehe maeneo ya Saa Nane usiku. Ndugu yetu ni m’bembe mushimukinji katika familia ya Bilemba pale baraka Centre. Habari iyo iwafikie ndugu jamaha na marafiki mahali popote walipo.

NB: FAMILIA YA ELENGABO inayo majonzi MAKUBWA ISIYO Elezeka juzi wametoka kumzika kaka yeke ya marehemu ndugu ALEMBE ELENGABO, yani awajatulia hata kidogo leo kumpoteza ndugu mwengine AMOS ELENGABO.
Mungu amlaze marehemu mahali pema pepuni.
Basi tutawajulisha zaidi kufatana na programme ya msiba. AMEN
R.I.P Amos Elengabo 😭

fizimedia.com
fizimediatv@gmail.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR