Communiqué

Page : 9

PPRD-FIZI inayo masikitiko makubwa kuwa tangazia kifo cha Camarade ALONDA Gentil wa Lulimba Secteur ya Ngandja ndugu Ali fariki kwaku jinyonga baada yaku sikia Mama Louise MUNGA amekosa kwa uchaguzi ame hacha mke na watoto , mungu ailaze pema roho yake peponi na afariji walio baki. Pia mwana mke moja ame lazwa kwa mshituko wa […]

Émo ya mbondo Afrique du Sud katika ville ya Cape Town ilikuwa katika uchaguzi wa rais mpia wa communauté bembe de Cape Town laste sunday.  President wa mbondo cape Town wame mchanguwa ndugu Bahombwa Mahonesho. Ata ongoza communauté bembe de cape town miaka miwili hapo cape town. Bas habari iyo iwafikie ndugu mbondo wote walio […]

M’MBONDO-AFRIQUE DU SUD : FAMILIA YA ELENGABO inayo masikitiko makubwa kwa msiba wa kijana wetu wa kibembe kwajina la Amos Elengabo. Aliye vamiwa na majambazi jana usiku huko AFRICA KUSINI. Amos Abekya Wa Elengabo Amepigwa visu jimboni Philipi akitokea kwenye starehe maeneo ya Saa Nane usiku. Ndugu yetu ni m’bembe mushimukinji katika familia ya Bilemba […]

Hapa tuko Maeneo za BARAKA tarafizi,kwenye ziwa tanganyika,hali iko kama unaovyo hona hapa kwenye picha,wa mamans wameahuka kuosha vyombo kama kila asubui,tuliojiana nao wakatuambia kuhusu Ukosefu wa usalama na ukosefu wa Samaki katika bahari iyo,Tuko moja kwa moja hapa Baraka,unaweza kuhuliza swali,trembelea ukurasa wetu wa www.fizimedia.com ou fizimediatv@gmail.com

Misisi.Kijana huyu amejinyonga wakati alipotambuwa kwamba mke wake anao wapenzi wainje na alafu kukawa Mabishano makubwa ndipo kaenda kujiua. Hadi muda kama na huu mke wake Ametoroka na kukimbiya asifuatwe na serikali. Fahamu yakua askari jeshi pamoja na polisi wamefika maeneo hayo kwaajili ya uchunguzi zaidi. Kumbuka yakwamba yapata sasa zaidi ya watu 10 ambao […]

Le Bureau de Coordination de la Société civile de Mutambala voudrait, tout le long de cette semaine, intensifier sa sensibilisation à l’éducation civique et électorale à travers les médias. Ainsi donc, il sollicite un accompagnement des radios locales de Fizi quant à ce. En attente de vos réactions par rapport à cette sollicitation svp ! […]

Baraka-Centre : Mr Majaga kihongozi wa wavunja pesa mjini Baraka amepingwa risasi iliyo sikilika usiku waleo Baraka nakwasasa yuko mahutihuti kwenye Hopital ya Baraka inayo zaminiwa na shirika (MSF-H). N.B : Ndugu Majara alivyo fika hospitali alikuwa kwenye alimbaya sana. kwamuda mchache ndugu akafariki. Poleni sana ndugu jamaha na marafiki wote. Basi marehemu ajimpumzishe mahali […]


En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR