Uvira: watu wenye silaa wamteka kapita wa Kijiji cha Kasambura.

Écrit par sur septembre 4, 2022

Watu wenye kushikiliya silaa wamteka kapita wa Kijiji cha Kasambura, groupement ya Runingu, ndani ya usultani wa Wafulero tarafani Uvira,usiku wa Siku ya sita tarehe 03/09/2022 mida ya saa tatu (21h28) usiku.

Bado mpaka sasa kujulikana wapi waliko mpeleka kiongozi huyu(OMBENI Kayege), kama alivyo heleza mkurugenzi wa shirika jipya la Raia Kijijini Mutarule, bwana Kenge kimanuka

fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR