Communiqué

Page : 10

Misisi.Kijana huyu amejinyonga wakati alipotambuwa kwamba mke wake anao wapenzi wainje na alafu kukawa Mabishano makubwa ndipo kaenda kujiua. Hadi muda kama na huu mke wake Ametoroka na kukimbiya asifuatwe na serikali. Fahamu yakua askari jeshi pamoja na polisi wamefika maeneo hayo kwaajili ya uchunguzi zaidi. Kumbuka yakwamba yapata sasa zaidi ya watu 10 ambao […]

Le Bureau de Coordination de la Société civile de Mutambala voudrait, tout le long de cette semaine, intensifier sa sensibilisation à l’éducation civique et électorale à travers les médias. Ainsi donc, il sollicite un accompagnement des radios locales de Fizi quant à ce. En attente de vos réactions par rapport à cette sollicitation svp ! […]

Baraka-Centre : Mr Majaga kihongozi wa wavunja pesa mjini Baraka amepingwa risasi iliyo sikilika usiku waleo Baraka nakwasasa yuko mahutihuti kwenye Hopital ya Baraka inayo zaminiwa na shirika (MSF-H). N.B : Ndugu Majara alivyo fika hospitali alikuwa kwenye alimbaya sana. kwamuda mchache ndugu akafariki. Poleni sana ndugu jamaha na marafiki wote. Basi marehemu ajimpumzishe mahali […]


En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR