Fizi – Minembwe : Colonel makanika ex Gumino, amewasili na kikosi cha wanajeshi zaidi ya mia
Écrit par FiziMedia sur décembre 26, 2018
Minembwe: Colonel makanika ex Gumino, amewasili na kikosi cha wanajeshi zaidi ya mia ,wanao muchunga, kuanzia jana alianza maongezi na vikundi mbalimbali vya kabila lake,(wazee, vijana, wafanya siasa……..) Wanyamulenge wako nashinda na imba na kufurahia ujio wa makanika. ©️infos Bumwe bwe baviila via le représentant des baviila de bijombo.
www.fizimedia.com