Mboko-Fizi : Wana mugambo wawili wa chama walio watiifu kwake général yakutumba wa chama cha maimai wamejiriporiti kwenye jeshi lataifa fardc mjini mboko secta ya tanganyika.

Écrit par sur décembre 31, 2018

Mboko
www.FiziMedia.com
Wana mugambo wawili wa chama walio watiifu kwake général mai mai William amuri yakutumba wa chama cha maimai wamejiripoti kwenye jeshi lataifa la fardc mjini mboko secta ya tanganyika.
Katika maojiano nilio ya fanya nao wamesema kwamba kilicho wapelekea kutoka katika chama cha mai mai cnpcc ni baada ya kuchoko na maisha yapata siku nyingi , wakiishi bila mafanikio ndani y’a maisha y’a kuji tegemea,
baada yakuona myaka Rudi myaka enda bila suluisho, waka amuwa kutoroka .
Ni kijana safari rashidi na asumani sulemani ndio wamejiripoti vijana ambao wana kadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 walipofika mikononi mwa serekali wame pokelewa vizuri na kuifaziwa nafasi za kulala wame yaheleza hayo mai mai hao Wakati nilipo kuwa Niki waoji hayo mjini mboko nibaada ya mapambano kuripotiwa kati ya fardc na wanamugambo hao

www.fizimedia.com

fizimediatv@gmail.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR