Nyarugusu Camp : Kumechacha kambini Nyarugusu, Soko kuu la muungano limefungwa kwa mara nyingine tena
Écrit par FiziMediaCongo sur février 25, 2019
Nyarugusu Camp
Kumechacha kambini Nyarugusu,
Soko kuu la muungano limefungwa kwa mara nyingine tena.
Biashara zote zimefungwa, akuna mtu anaye ruhusiwa kulema sokoni tena mpaka pale Serikali itakapo tangaziya wakimbizi tena.
Ifaamike kwamba Soko iyo ilikuwa inalema mara tatu kabla ila ilifungwaga mnamo mwaka jana 18 August 2018 na lilipo funguliwa, walibadili siku za kulema na kwa sasa ilikuwa inalema mara moja kwa week , ijumaa .
Soko kuu la MUUNGANO limefungwa tena mda usio julikana,
Duru zetu kambini apo zimeripoti kwamba, wametangaza » mpaka pale watakapo tangaza tena kama walivyo tangaza ».
Gari lilizunguuka kambini kwete likiwa na vipaza sauti kwa juu uku likitowa tangazo ilo.
Notre Site 👍
👇👇👇
fizimedia.com fizimediatv@gmail.com