BARAKA-RDC: kazi za ujenzi wa barabara za hanzishwa
Écrit par FiziMedia sur mars 18, 2019
BARAKA-RDC: kazi za ujenzi wa barabara za hanzishwa.
Meya wa jiji la baraka ameweza hiyo siku ya tano tariki 15/03/2019 kuanzisha kazi za ujenzi wa barabara za mitaa,moja ya vitu ambavyo ameviwekeya kipao mbele katika uongozi wake,pamoja na umeme,maji.
Mambo hayo aliweza kuhi hambiya raia katika kikao chake cha siku ya inne tariki 14/03/2019 kwenye chumba cha mikutano cha mahamat.
Art
Faraja mulumba famure
Éditeur
K. Lùabanya OZO
Www.fizimedia.com
fizimediatv@gmail.com