MBOKO-FIZI : PRM yahilahumu serekali
Écrit par FiziMedia sur mars 6, 2019
MBOKO: PRM yahilahumu serekali
Chama cha kisiasa cha patriotes résistants maï-maï (prm) kime weza ku lahumu vikali jeshi la taïfa(FARDC) kwa kitendo cha kuwa shambuliya wanamgambo wa maï-maï waliokuwa weme jikusanya kijijini AFULÙ kwa niaba ya kujiunga na jeshi la taïfa ili watumikiye inchi chini ya bendera ya inchi. KALIBA MULANGA PARDONNE,kiongozi mkuu wa chama hicho inchi nzima ,ameweza kuzungumza hayo na mwandishi wetu Www.fizimedia.com
akiwa Kinshasa kwenye njiya ya simu.
Ijulishwe ya kwamba katika mapambano hayo,ya jumamosi 03/03 ilio pita kumeweza kuripotiwa vifo vya Raia wawili, wanamgambo wa maï-maï saba na askari jeshi wa taifa kumi.
Www.fizimedia.com
fizimediatv@gmail.com