RDC : Ituru polisi ya washika wahalifu wa Mauwaji.
Écrit par FiziMediaCongo sur juin 12, 2019
Polisi ya kongo ilihendesha msako ilikuwashika wahalifu wanao hendesha Mauji ya kimbari katika Jimbo la ituri kunako maeneo ya #Djungu ituri.
Hali hiyo imekuwa bahada ya wahalifu kuhuwa takribani wafanya viashara wane.
Liwali wa ituri ameita watu wenye kumiliki sihaa kuzileta kunako serekali.