Goma: Vijana wa Tarafa la Fizi wahendesha sit-in,Kuna nini?
Écrit par FiziMediaCongo sur juin 26, 2019
David Aluta

Ivi sasa ni tatribani mwezi mmoja tangu ilihendeshwa meza ya mazungumuzo kuusu kuweza kuhanda namna ya kuhendesha uchaguzi kunako Emo ya M’mbondo jimboni kivu ya kaskazini, vijana wazaliwa wa tarafa la Fizi wamehendesha sit-in zidi yake Mzee Gullin Amisi ambaye anakuwa msimamizi Wa mazungumuzo hayo huku vijana hao wakiomba Kusikuwe na sheria mbaya ambazo zitawekwa na tume huru ya uchaguzu ili kuwakosesha vijana hao nyazifa fulani.
Katika maojiano na vijana hao asubui hii, wamesema kuona giza mbele wakati huu kiongozi aliyoko madarakani ameonekana kushindwa kuhandaa uchaguzi.
Hali imeonekana kuwa nzuri wakati huu Vijana wakibaki wakisubiri MZEE Guilin Amisi aweze kumaliza kikao cha mwisho na viongozi wa kabila la wa bembe hapa jimboni kivu ya kaskazini.
Vijana wametowa angalisho kwa kundi so mtu yeyote atakaye henda kinyume na sheria.
Emo ya M’mbondo jimboni kivu ya kaskazini kinahelekea kufikia hatuwa yakugawanyika wakati huu vijana wakiwa na msimamo mkali.