Baraka-FIZI : Ajali ya Gari,Watu wahumiya
Écrit par FiziMediaCongo sur juin 19, 2019
Gari moja ambayo ilikuwa na Mizigo imeweza kuhanguka wakati ilipotaka kuvuka eneo moja mbaya ya barabara katika jiji la baraka maeneo ya kalinga sud avenue Maison Escale.
Kulingana na habari za hivi punde gari hiyo aina ya Dyna imehanguka huku ikiwa na mizigo mikubwa ikiwemo mkaa,maragi ,maindi na mafuta.
Maishaidi wa ajali iyo wamesema kuwa hayo yote imejitokeza kwa ubovu wa barabara ambayo ilihabiriwa na nvua kali zilo nyesha Mwisho wa mwezi wa tano.
Kulingana na shirika la raiya la Muji wa baraka limesema kuwa,eneo nyingi za barabara hiyo namba tano ya inchi zinakuwa katika hali mbaya.
Kitengo hicho kimeomba wakuu viongozi kuweza kutengeneza maeneo zote zenye kuharibika ili kupunguza iwingi wa ajali hizo.
kitabu lusakila Sur juin 19, 2019 à 9 h 10 min
Comment… merci beaucoup vraiment