Congo-Fizi: Bi Louise Munga Misozi akubaliwa na korti kuu ,Kaliba Mulanga upo? Ao?
Écrit par FiziMediaCongo sur juin 11, 2019
Enoch David
Mji wa baraka umehamuka kwa furaha kubwa wakati huu ma miya ya wafuasi Wake mwanasiasa Louise Munga waliweza kucherekea kukubaliwa kwa huyo na korti kuu ya taifa inchini kongo.
Bi Louise Munga ambaye sasa ni Mara yake ya kwanza kuwa mwanabunge wa eneo hilo la jimbo la kivu ya kusini amaweza kugombowa Bwana Kaliba Mulanga pardon Mdaa mchache usiku wa kukucha leo siku ya Pili tarehe 11.06.2019.
Kulingana na korti kuu ya inchi ya jamuhuri ya kidemokratiya ya Kongo, Kaliba Mulanga aliweza kushindwa kunako uchaguzi wa mwaka wa 2018 iliyo pita.
Hali hiyo imekuwa yenye kurizisha wafuasi Wake bi Misozi ambaye raiya wa Tarafa la Fizi wanamuita « Mama Asemaki Bongo ».


Jopo la kisiasa tarafani Fizi linakuwa sio nzuri wakati huu kwani wafuasi wake bwana Kaliba Mulanga awako Tayari na matokeo hayo ya korti kuu ya taiga taifa inchini.
Kaliba Mulanga alikuwa mchaguliwa ambaye alikuwa akipiganiya maguezi tarafani Fizi ndivyo walisema raiya raiya waliyo ojiwa na idhaa ya kiswahili ya www.fizimedia.com.
Kumbuka bi Louise Munga aliwai tena kukosa kunako uchaguzi wakitaifa wa mwaka wa 2011.
Mpaka sasa Uwariri wa fizimedia.com atuja pata bwana Kaliba ili kutaka kimuhuliza alipokea aje uhamuzi huu wa korti kuu?
Kuwa wa Kwanza kusoma hili.