Rdc: Rais Felix Antoine Tshisekedi atowa Baruwa yakusambaza vikosi. [ fizimedia.com desk Swahili Est DRC]

Écrit par sur juin 8, 2019

Katika malengo yakupunguza ukosefu wa usalama inchini kongo,raisi felix kupiya kamanda wa majeshi Mbala celestin amesaini baruwa yenye kuruhusu vikosi vyake viweze kubadilishwa.

Wakati huu inchi ikiwa imevamiwa na makundi ya wahasi wa inje na wale wandani,Felix Tshisekedi amesema kwamba lengo lake kubwa nikuona amani inakuwa popote inchini mwake.

Mji na tarafa la Beni limepewa kanda mbili ambazo zitaweza kuhendesha ulinzi maeneho hayo yenye kuvamiwa kila uchao na wahasi wenye kumiliki silaa kinyume nasheria ikiwemo wahasi wa ADF kutoka uganda na FNL kutoka maeneo za rwanda na Burundi.

Hatuwa hiyo imekuja katika malengo ya kustawisha amani inchini jamuhuri ya kidemokratiya ya kongo.

Mwandishi: Enoch David Aluta B

Boss Manager Kasanga Ozo Lùabanya.

Www.fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



Continuer la lecture

En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR