Www.fizimedia.com Desk ya kiwahili -Uvira: Atuko Tayari kuachia mgeni hata santemita 0,Felix Ngoy Walasa Msemaji wa Kabila la wabembe
Écrit par FiziMediaCongo sur juin 24, 2019
David Aluta
Wakati huu ikiwa zimebaki saa chache mkutano wa majadiliano kuusu kutafuta usalama na Amani kati ya makabila za wabembe, wafuliro ,wanyamulenge na wanyindu mjini uvira ifikapo tarehe,Felix Ngoy Walasa amesema kuwa » Atuko tayari kujadiliana na kabila lolote la kigeni kuusu udongo wetu, kwani kabila moja aliasumbuwa wengine,tuko Uvira ili kumaliza mizozo ila siyo kusema patiye wanyamulenge hata senti zero ya udongo Wa Fizi ».
Kwengine kiongozi huyo amesema kuwa ni wajibu wa serekali ya kongo kutafuta amani ya kudumu kupitaya wenye udongo sio kuachia kabila moja lisumbuwe lingine.
Tarafa la Fizi jimboni kivu ya kaskazini limekuwa shamba la Vita wakati huu mamia ya wakaji wa vijiji vya juu ndani ya secta ya lulenge vinakuwa bila wakaaji bada ya makabiliano ya makundi ya wahasi wa makabila.
Kamwe sito hitika kabila la wabembe lihumiye kila siku ni mdada wa kusimama.