Sud-kivu: Mboko shule la Msingi Tundwa la vamiwa na FARDC
Écrit par FiziMediaCongo sur juillet 5, 2019
Naye Thomson Undji

Shirika jipya la raïa nchini Congo tawi la secta ya Tanganyika tarafani fizi,limeonyesha masikitiko Yake kwenye vyombo vya abari juma ili kwa kitendo cha jeshi la taïfa la Congo FARDC walio mjini mboko kuweka kambi yao kwenye shule la msingi TUNDWA mjini umo ya pata sasa wiki mbili.wakuu wa shule waliripoti kuwa siku ya matangazo ya mwisho wa mwaka wanafunzi na waalimu hawakujitokeza wengi kwaajili ya woga.
Mwandishi wetu wa mboko Thomson undji batangalwa william nabripoti kamili.
Habari fupi.