Baraka: chuu cha UEC-Baraka cha towa vyeti kwa wana chuo na kufunga mwaka wa Masomo 2018-2019.

Écrit par sur août 31, 2019

Enoch David

Picha: juma jay Masuku

Chuu ki kuu cha UEC-Baraka kimezinisha sherehe za kupana vyeti kwa wana chuo waliyo weza kutetea vitabu vyao kwa wanachuo ambao walikuwa katika hatuwa za kupewa liseni ao licence kunako chuu hicho cha kanisa la Kimetodisti Huru katika jiji hilo.

Kwa ujumla takribani wana chuo 13,wali weza kufaulu kunako hatuwa ya kutetea vitabu vyao siku ya tano,tarehe 30 mwezi wa nane kwa awamu ya pili.

Siku ya sita tarehe 31 mwezi wa nane mwaka wa 2019.

Kulingana naye professa Dactari NYAMANGYOKU ISHIBWELA OBEDI,amesema kuwa ni kazi kubwa mno ambayo wanachuo hao waliweza kuhendesha baada ya miaka tano.

Mamia ya watu walikuja kutizama sherehe hizo ambazo zina hendeshwa hapa baraka.

Soma mengi hapa http://www.fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR