Baraka: Mwana Bunge Msambya Abwe Freddy akutana na raiya.
Écrit par FiziMediaCongo sur août 27, 2019
Enoch David Aluta/Picha yake Madiba Maoye

Ni mida ya saa kenda katika mji wa baraka ndipo alipokelewa kunako kilalo cha Mwemezi mbunge wa kitaifa mchanguliwa wa Tarafa la Fizi,Msambya Abwe Freddy huku kupitiya Meeting(Mkutano wa pamoja na raiya) ndiko aliweza kuzungumuza na raiya Wa jiji la baraka.
Katika Maojiano na http://www.fizimedia.com amesema kuwa lengo kubwa la ujiho wake hapa mjini,nikuja kukutana na raiya ili kunujuwa matizo yaho,huku ikiwemo ukosefu wa usalama,ubovu wa bara bara namba tano ya Taifa itokayo Kalemi na kwenda Uvira.
Msambya Abwe Freddy alitowa shukrani kubwa kwa Mamia ya wakaaji wa mujii huu ambao waliyo hitika kumpa kura zao ili aweze kuwa kama kinywa choa ndani ya hikulu kuu la bunge ya taifa mjini Kinshasa.
Mwana bunge uyo ambaye ma mia na Maelfu ya raiya wanampenda,waliweza kuitika mwito wa chama cha UDPS ambacho leo kiko madarakani na kuja kumlaki huku wakihimba na kufurahi kwa uwingi.
Msambya Abwe Freddy amepana Baadhi ya vitu kwa raiya wa muji huu,Mengi soma Habari zetu kwa lugha ya Kirafansa.
fizimedia.com