Lusenda: AYEBA Mialano Ipape amehaga Dunia baada ya kupigwa risasi na FARDC.
Écrit par FiziMediaCongo sur août 30, 2019
Shandrack MAJALIWA

Kijana moja mwenye kukadiria chini miaka ya salasini aliye fyaturia risasi na mwana jeshi wa tahifa FARDC kwa jina la Android usiku wa siku ya pili ameaga duniya iyo Jana .
Kijana uyo alikua anahitwa AYEBA Mialano Ipape alizaliwa zaliwa mwaka wa 1991uko kijijini Lusenda na ivyo kufariki akiwa na miaka ishirini na nane baba wa watoto tatu.
Aliye fyaturia risasi na jeshi la taïfa maarufu Android baada ya kuto towa salamu kwa jeshi uyo ndipo vurugu zilitokea kati yake na jeshi uyo kumchaniya nguo baada ya hali iyo kijana uyo alikwenda toa ripoti mbele ya idara fulani fulini za kiserekali kwayale yalio mtokea alipo maliza ziara izo akataka kujielekeza nyumbani ndipo akakutana na jeshi na ivyo kumfyaturia risasi moja mguoni uko zingine zikielekea tumboni na hivyo watu waka wahi mapema katika kituo cha afya cha Lusenda ilikupata matibabu alikua muda wa saa moja usiku wa siku ya pili wiki hii.
Kwa mda mchahe wakampeleka adi katika kituo kikuu cha NUNDU ila apakua na muda adi wakamsafirisha adi Bukavu ila alipo fika kamanyola kijana akakata pumzi.
Ila wakuu viongozi wa shirika la rahiya katika secta Tanganyika walikua tayari wamekwisha panga mpango wa kufanya maandamano yaa amani zidi yaa serekali kuwatatulia shida inayo wakumba tukumbushe kua ali yaukosefu wa amani watu kutumikwishwa,mauwaji na jeshi ilo vinatanda kwote tarafani fizi uko kijiji cha KAZIMIA mama mwengine Ali uwawa na jeshi ilo jiani mwa mwezi huu wa octaba.