Uvira: wachaguliwa jimboni wa tarafa la Fizi wanapumuwa kwa hewa ya Uvira.

Écrit par sur août 15, 2019

Enoch Aluta David//Ph Archv

Ujumbe mkubwa wa wachaguliwa jimboni wa tarafa la Fizi kivu ya kusini umelala katika jiji ya uvira ili kuandaha ni namna gani wataweza kujihelekeza tarafani Fizi ambako wali changuliwa.
Kulingana naye Mchaguwaliwa jimboni Peshi Mtengya Prince amesema kuwa, wame lala jijini umo huku wakipata mda wakuzungukuza na wazaliwa wa tarafa la Fizi ambao wana hishi jijini uvira.
Msafara huo mkubwa wa wabunge unajihelekeza tarafani Fizi ili kuketi katika likizo za ubunge ao vacance parlementaire kwa lugha ya kifaransa.
Katika habari tulizo zipokea kutoka tarafani fizi, tayari ma elfu ya wafuasi wa wabunge hao wamehanzisha mahandalizi makali.http://www.fizimedia.com
Nao raiya wa muji wa baraka wasema kuwa, awaja wai kuona wabunge ambao wanapendana Kama hawa.
Hivo wabunge hao watakuwa na kazi nyingi zakufanya, ikiwemo kujuwa matatizo ya wakaaji wa tarafa la Fizi, ikiwemo ukosefu wa usalama, Vita vya ukabila.
Peshi Mtengya prince amaita raiya wa Fizi kuwa na umoja.

fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR