Nyarugusu: Kwa nini Masoko ya Fungwa.

Écrit par sur septembre 8, 2019

Raymond Misa Miranam Isaiah.

Photo Babondo m’mebalo.

Masoko makubwa na madogo madogo yafungwa tena katika kambi ya wakimbizi wa kikongomani na Kirundi.

Kotokana na tangazo lililo tangazwa leo Ijumapili 8 september na ofisi ya mkuu wa kambi Makazi.
Inasema kwamba  » kuanzia leo Tarehe 08/09/2019, Masoko yote yalio kambini nyarugusu yamefungwa,
Wakazi wote wa kambi ya wakimbizi Nyarugusu mnatakiwa kutekeleza agizo ilo mara moja.  »
Alisisitiza ujumbe kutoka ofisi ya mkuu wa kambi.

Ujumbe uho kutoka ofisi ya kiongozi au mkuu wa kambi, Bwana Makazi MHA uliweka msisitizo na onyo kali kwa wakimbizi watakao gahiri ujumbe uho kwa kulema katika Masoko kesho ukisema:
 » kwa yeyote atakaye kutwa sokoni kuanzia kesho tarehe 09/09/2019 atakamatwa na kupelekwa maakamani  »

Tulijaribu kuhongeya na kiongozi wa kambi Dekambi Abilola kwa lengo la kutaka kujuwa kuwa masoko ayo yatafungwa katika mda wa siku ngapi lakini hakutowa msisitizo akisema:
 » Amri iyo imetoka ofisi kuu ya mkuu wa Makazi, sijawa na taarifa kamili kuwa amri iyo itakuwa ya mda, iyachukuwa mda gani aidha ni ya bila kikomo ».

Ayo yametokeya uku wakimbizi wa kambi ya Nyarugusu tarafani Makere, Wilayani Kasulu mkoani Kigoma, nchini TANZANIA wakiwa na mwaka mzima toka mwaka Jana tarehe 15/08/2018 kufungiwa soko ya Muungano, usafiri wa Pikipiki na wa besikeli kwa muda.

Unawaza je kuusu hali iyi?


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR