NYARUGUSU:Ndivyo ilivyo someka tangazo hilo kambini nyarugusu hapo jana na leo limetekelezwa kwa asilimia zote.
Écrit par FiziMediaCongo sur septembre 9, 2019
Nondo wa mukalay.

Nikumbushe kwamba ni takribni mwaka na nusu toka walipo piga marufuku matumizi ya pikipiki , beiskeli.
Ila mda mfupi baada ya hapo waliruhusu matumizi ya beiskeli; duka za vifaa mbalimbali nazo zilifungwa na soko kubwa maarufu kama MUHUNGANO MARKET.
Katika kukataza huko vijisoko vidogovidogo ambavyo hukutanisha wahuza mboga(samaki,dagaa wa ziwa tanganyika na ziwa. victoria),mbogamboga(mchicha,kisanvu,kabichi,…) Na bucha vilikuwa vimeruhusiwa.
Ila kwa tangazo la tarehe 08/09/2019,soko zote zimefungwa leo hii tangazo ilo ambalo wakimbizi tumelipokea kwa masikitiko na mshangao mkubwa imetulazimu kuanza kulitekeleza.
Hadi mda huu sababu zakufungwa kwa soko hakujajulikana kabisa.