RSA:Breaking News Jobec South Africa Hali sio nzuri.

Écrit par sur septembre 9, 2019

Raymond Misa Miranam Isaiah.

Ali ilikuwa tete mchana wa leo ijumatatu 09/09 mjini Jobec kati ya wageni na wahenyeji wao.
Wageni wote kutoka nchi mbalimbali walijikusanya na kujiweka sehemu moja,
Wakiwa na mapanga, visu , shoka na silaa mbalimbali za kimyikimya,
Lengo na madhumuni ilikuwa kukabiliana na raia wa South Africa walio kuwa pia upande wa pili wakitaka kuendeleza unyama wao wa kuua wageni.

Raia wa kigeni kutoka sehemu mbalimbali barani Africa kwa upande wao walikuwa wanawahita wazulu waje sasa wahoneshane kwa maana ya viwe vita, uku wazawa wa south Africa kwa upande wao wakitaka kulianzisha kiwashwe kimbembe.

Jeshi la police lilihingilia kati swala ilo kwa kuwatawanya waandamanaji kutoka pande mbili kwa kupiga mabomu ya kuvutia machozi na risasi halali.

Raisi wa south Africa, Ramaphosa aliwasili mjini apo na kufanya kikao cha zarura na viongozi wa mji huo kwa lengo la kutokomeza mambo ayo ila walio yazungumza hayakutangazwa kwa media ingawa walisema kuwa huongozi wa mji utahutubiya jamii kesho asubuhi.


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR