Tanzania-Nyarugusu:Atimaye Sensa ya alama za vidole yapangiliwa kuanza kesho september 25 kambini nyarugusu.
Écrit par FiziMediaCongo sur septembre 24, 2019
Raymond Misa Miranam Isaiah.

Kutokana na tangazo lililo tolewa leo iyi na viongozi au wenyekiti wa zoni mbalimbali kambini nyarugusu, tangazo izo zihusuzo kuwajulisha na kuwaamasisha wakazi wa kambini nyarugusu kuwa kuanzia kesho asubuhi Sensa itaanza kwa mara nyingine na itaanza na zone ya kwanza.
Sensa iyo inalenga kutowa vitambulisho vya wakimbizi kwa wakimbizi wote wa kambi iyo ikiwemo na wale wasio na macards.
Vitambulisho ivyo ni vili zitakavyo wawezesha wakimbizi kupata huduma ya kusajili laini zao za mawasiliano ya simu kwa mfumo wa alama za vidole maharufu NIDA,
Pia kuwafanya kuwa huru kutoka nje ya kambi nchini Tanzania kihuraisi bila bugza iwapo kama uashikwa bila kibali ukapata huafadhali wa kutambulika haraka kuwa wewe si muamiaji haramu bali mkimbizi aidha mwomba ifadhi. http://www.fizimedia.com
Mchakato huo tajwa kwa juu hauku tolewa uthibitisho kuwa utachukuwa siku ngapi ingawa dezone wa zone ya kwanza alihakiki kuwa zone yake itaanza kwenda Sensa kesho, kila mtu na familiia yake ili kupita kwenye mchakato huo wa Sensa ya kupata vitambulisho vya ukimbizi kinyume na form pamoja na ration card.
Ifaamike kwamba mchakato huo wa Sensa nyingine umekuja mapema tu baada ya week kazaa toka Sensa kuu kumaliza kambini hapo Nyarugusu.
Je umependa ?