Fizi: Vita ya Minembwe imepelekeya raiya wengi kubaki Maskini.

Écrit par sur octobre 15, 2019

Steven Amani.

Hali Ya ukosefu wa usalama imeripotiwa kuwa mbaya katika vijiji vya minembwe tarafani fizi,usiku wa kucha leo 15/10/2019, baada Ya mapambano yaliyo endeshwa kati Ya mai mai wanao jiita UNLC(Union delà libereration du Congo) na Ngomino wa Kabila la kinyamulenge.

Habari tuko kwa raia wa minembwe tuliyo zungumuza nao ,na ambao hawakutaka majina yao kutajwa, wemesema kwamba, tayari maia mai wameingia katika Kijiji cha madegu minembwe ,na kuwasambaza ngomino.hata ivo duru zetu hizo zimeakikisha kuonekana kwa maiti nyingi katika pori za watu wanoa shikilia silaha Ila hawaja tofautisha endako niza upande upi kati Ya pande izo mbili.

Kiongozi wa vijana pa Minembwe bwana Saidi Ruhenguka ,amehakikisha kwamba ,mai mai wameingia menembwe kati Licha Ya kwamba ,askari wa umoja wa mataifa Monusco wanaweka ngome yao na hawaja jibu kwa mapambano hayo.

Kwa upande wa jeshi la taifa FARDC,wao wameanza kutapakaa katika mji wa minembwe ili kurudisha usalama.mwishowe tujulishe Ya kwamba,zaidi ya familia 350 za raia wa Kabila za kinyamulenge zimeshukia pa fizi centre n’a wengine bado wangali porini n’a makabila mengine , wabembe,wanyindu n’akazalika.

Tukumbushe kuwa hali Ya ubinaadamu ni mbovu sehemu iyo Ya tarafa la fizi.


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR