NYARUGUSU CAMP MARUFUKU NYINGINE YATOLEWA KAMBINI NYARUGUSU.

Écrit par sur octobre 18, 2019

Www.fizimedia.com

Kutokana na lilivyo someka bango la leo iyi, ni kwamba ofisi ya mkuu wa kambi imetangaziya jamii ya wakimbizi wahishio nchini TANZANIA mkoani Kigoma wilayani kasulu kuwa.

Katika msimu uhu wa mvua au wa kilimo ni marufuku kulima mimeya ya kuota kwa kupanda juu kama vile maindi , mtama, miogo na kazalika.

Itatakiwa kupandwe chakula kinacho hota kwa kutembeya chini kama vile, viazi, kabechi, mchicha na kazalika.

Ifaamike kwamba si mara ya kwanya kutolewa marufuku iyo kambini nyarugusu, ni ambri inayo tokaga kila mwaka ingawa mwaka uhu imetiliwa mkazo sana na kuhakikishwa kuwa atakaye kihuka sheria iyo basi atachukuliwa atuwa kali.

Ilo mara nyingi hutokana na kuboresha usalama kwa kutokulima mazao ya maindi ambayo hulimwa kwa wingi kambini hapo, kwa maana wahalifu hujificha ndani ya mashamba ya maindi ili kusababisha mazara baadae.

Wenu Raymond Misa Miranam Isaiah


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR