Misisi:Mama moja hauwawa na mvulana Asie julikana.(Desk Swahili).
Écrit par FiziMediaCongo sur novembre 6, 2019

Kwa jina mama aimé afriki dunia katika club ya pombe androïde kijijini misisi majira ya sahaa moja husiku hii tarehe 6/11.
Duru rasmi ina heleza kua marehemu uyu kwa jina analo fahamika aimé alipata na kijana moja ambaye hakujulikana ili waendeshe kitendo changono,bahada ya makubaliano,wali hingia club ya android nakuomba chumba,bahada ya hapo yalio endelea ndani haikujulikana , hilio kutwa ndani ni mwili wa marehemu na kijana alie endesha mahuaji hakujulikana.
Jeshi la polisi linaendesha huchunguzi ,lakini mumiliki wa club amepelekwa kituo cha polisi ili kutoa maelezo zaidi.
Hufahamu yakua marehemu uyu ali kua na shughuli zake ya hukahaba hujulikanao apa misisi kimbaraga na alikua na hishi katika madhingira yao itwayo kije ,huku anahacha mototo moja .
Harakati za kuojiana na maafisa wa polisi ime gonga mwamba wakati huu ,lakini mwili wa marehemu uliondoshwa sehemu ya tukio na kupeleka haliko hishi .
Naye Gabriel yamumba.