M’mbondo-Canada : ratiba ya msiba wa ndugu yetu Kalenga Malúmbé aliyefariki hapa Québec cita-canada ambaye atazikwa hii samedi 1er février
Écrit par FiziMedia sur janvier 31, 2020

Hii ndio ratiba ya msiba wa ndugu yetu Kalenga Malúmbé aliyefariki hapa Québec ambaye atazikwa hii samedi 1er février:
Exposition
Samedi 1er février 2020 de 12h00 à 15h00.
15h00 kwenda makaburini.
Adresse ya exposition:
6450 Boul. Henri-Bourassa
Makaburini:
Cimetière la souvenance
Rang ste-Anne G2G 0G9.
Baada ya mazishi kutakuwa kukutana sehemu fulani kwa ajili ya kuongeya machache kuusu maremu. Anwani yake mtajulishwa makaburini.
Kwa niaba ya jamaa ya Babúlwa na hengwe tababúlwa na bita.
fizimedia.com
fÉcrit : Lùabanya Ébabmbùci