Filamu: « Bienvenu prosper Aka Wakiza kipya na Moise sartiel Aka Kaluta bado ni wasani wa Ac Company » Abema Charles
Écrit par FiziMediaCongo sur mai 28, 2020

C.E.O wa Ac Company Ltd inchini DRC na BURUNDI, Abema CHARLES amekanusha taharifa zinazo zagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa wasani wa kampuni yake tawi ya Baraka-Fizi, Wakizazi kipya na Kaluta wamejiondowa kwenye campuni hiyo na kujiunga na kundi la KING MEDROS FILM FIZI/Baraka.
Wakiza kipya na Kaluta bado ni wasani wa Ac Company maana sijapata tahari yoyote kutoka kwao kama wamejiondowa kwenye kampuni Ametaja Abema CHARLES.Ahiza C.E.O huyo ameongeza kuwa wasani hao wahigizaji wako huru kufanya wanachotaka.Kila m’moja ni mmiliki wa maamuzi yake kwa kile anataka afanye na ndani ya Ac Company msani wowote iko huru kujiondowa hata kujiunga ila kwa kueshimu sheria za kampuny Ameeleza Abema.



FiziMedia.com Present CORONA SHORT FILM by Ac Company Ltd.

link iko hapa : https://youtu.be/5lZTSJcaOlA
Tayari Filamu hii ya kuamasisha iPo kwenye Chanel yetu ya YouTube.
Tunakuomba uifate n’a kama kweli utapata nafasi yakuangalia usikose kuacha comment yako ili kuakikisha kwamba uko mmoja mwenye kutoa MAONI kwa maendeleo
Fizi Oyeeeee!!!!!
Uvira Oyeeeee!!!!.
Mwishowe Abema CHARLES amemaliziya kualika mashabiki wa filamu kusapoti kampuny hiyo ya kuigiza filamu inchini DRC na BURUNDI ili kazi zake zizae matunda kwa kauli mbio Pamoja Tunaweza.
– Mwandishi, Descartes KASHINDI.
Suleimani Sur mai 30, 2020 à 12 h 50 min
Hello beautiful