Fizi: mwanainchi mmoja ahuwawa kwa kupigwa risasi kijijini ‘Yonwe

Écrit par sur août 10, 2023

Mwanainchi mmoja mkaaji wa Kijiji cha ‘Yonwe(Elùmbe ya pili 2), kinachopatikana ndani ya groupement ya Bashi Mmuma kaskazani ,sekta ya Tanganyika,tarafani Fizi ,jimboni Kivu ya Kusini.

Kitendo hicho kimetokeya mida ya saa nne usiku(22h) wa Siku ya pili tarehe 08/08/2023,ambako wauni wenye silaa wamkuta nyumbani mwake na kuweza kumpiga risasi.

Muanga alijulikana kwa jina la NGOMA,mwenye umri unao kadiriwa miaka 60,kama alivyo honesha mkurugenzi wa shirika jipya la raia, Bana Mafikiri Mashimango Martin.

Vyanzo vingine vya mahali, vilionesha kwamba ,muanga huyo alishakiwa kuwa mchawi.

Ikumbukwe kwamba, mjini baraka ,mnamo asubui ya Siku ya pili tarehe 08/08/2023 ,piya mwili bila uhai uliokotwa karibu na generator ya PEB ,huku chanzo cha kifo kisijulikana hata.

Muanga huyu alikadiriwa kuwa n’a miaka zaidi ya 40.

fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR