Mashindano Sango Batendji : coach wa fcf etoile asema kuingiya fainali bila tatizo

Écrit par sur septembre 10, 2023

Mechi za nusu fainali za mashindano «Sango Batendji Netho », zita hanza kutimuwa vumbi siku ya kwanza tarehe 11/09/2023 ,kwenye uwanja wa LUMUMBA upatikanao mjini baraka,jimboni Kivu ya Kusini, jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo.

Mechi hizo, zita pambanisha timu ya FCF ETOILE zidi ya FCF TEDEM mida ya saa kenda(15h). Na Siku ya pili(12/09/2023) timu ya FCF FORCE DES FILLES ita pambana na OCF MASANZE.

Kwake mkufunzi wa timu ya FCF ETOILE ya Matata , MARHEZ ,asema kwamba timu yako inakupeo mbele chakuingiya fainali, katika mahojiyano yake na vyombo vya habari Siku ya Inga 10/09/2023.

«Timu yangu inajihandaa vilivyo juu ya mechi ya nusu fainali. Wachezaji wote wapo tayari kwenye mechi hiyo na tuna tumaini kwamba ya kufunga mechi wowote, Ila mechi haitokuwa raisi sana . Ninaomba mashabiki waingiye uwanjani ili kuwapa nguvu wachezaji. Kikosi kipo imara ,na tumehongeza kidogo katikati. Ila sina papara yoyote», amemaliziya kusema coach MARHEZ.

fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR