fizimedia.com : ungana na vijana wa tarafa la Fizi kunako sherehe.

Écrit par sur juin 18, 2019

Vijana wa tarafa la fizi wa kabila la wa Bembe ambao wanaishi kinshasa wanahandaa sherehe kubwa yenye malengo yaku kusanya Watu ambayo wanaita  » Tumanyane na Tùsambe » http://www.fizimedia.com

Unaweza ungana na vijana hao katika hatuwa ya kuchangiya kwa maendeleo bora tarafani Fizi ingewaje wako kinshasa.

Sherehe iyo itapitishwa na www.fizimedia.com mara moja.
Www.fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR