http://www.fizimedia.com kiswahili/Desk Fizi Goma: Jean Jacques Elakano ameita makundi ya wahasi kujihunga na jeshi
Écrit par FiziMediaCongo sur juin 24, 2019
David Aluta
Katika masemi yaliyo chukuliwa na redio baraka Goma jimboni kivu ya kaskazini,Mwanasheria Jean Jacques Elakano amehomba makundi ya wahasi wenye kumiliki silaha kinyume na sheria kuweza kujihunga na jeshi la kongo wakati huu Mweshimiwa rais wa inchi Felix Antoine Tshisekedi akiwa akipigania amani ya kudumu na Maendeleo huku tumekuta inchi ikiwa yenye « Kuchanika ».
Wakati wa hayo,Elekano amehambiya gazeti la nyumbani fizimedia.com kuwa,Muda umefika kwa kujenga inchi ya jamuhuri ya kidemokratiya ya Kongo na kubadili historia ya inchi iyi ya ma babu zetu.
Jimbo la kivu ya kusini limekuwa kunako mstari wa mbele kwa Vita vya ukabila kisha jimbo la ituri ambalo Leo hii rais wa inchi anahendelea kutafutiya amani ya kudumu.
Tayari tumejuwa lipi lakufaa wakati huu makabila yamebaki yenye kugawanyika.
Jean Jaqcues amesema ameomba makabila kuhishi kwa amani ili jimbo la kivu ya kusini lione maendeleo.