fizimedia.com( kiswahili) -Fizi: Maoni yake Steven Ebuela Kuusu soka za Fizi
Écrit par FiziMediaCongo sur juin 18, 2019
Steven Ebuela mchezaji mwenye kukadiriwa kuwa na miaka 17 ambaye anachezea leo club ya mpira ya As Dauphin Noir amehambiya www.fizimedia.com Kuwa tarafa la Fizi pekee linaweza kuwa natowa wachezaji 10 kwa mwaka ili kusaidiya zingine team.

Mimi nilianza kuzipiga na clubu ya fc flambeau raha ya Fizi ambayo Ndiyo kubwa ya tarafa hilo ya yenye historia kubwa ya mpira maeneo hayo ya jimbo la kivu ya kaskazini.
Kwa sasa naweza nikahambiya mashabiki Wangu wa mpira kuwa nikotayari kufikia hatuwa nzuri bahada ya kufunzu michuano ya kic « Kongo international cup » ambayo inathendeshwa barani ulaya mchini huespania.
Nahambiya raiya wa tarafa la Fizi kuwa mpira unachangiya katika hatuwa ya kustawisha amani, Mimi Kama balozi wao na omba wafanya siasa waweze kuheshimu haki za raiya wakati huu ma Mia ya wa mama na watoto wanahishi kwa njaa bila chakula.
Katika hatuwa ya kumaliza naweza haidi tarafa la Fizi na muji na mji wa baraka kuwa mda mchache tutaweza kuhanzisha miradi ya maendeleo ya mpira tarafa humo.http://www.fizimedia.com
Naenda barani ulaya naenda wakilisha tarafa la Fizi na inchi Yangu alisema Steven Ebuela.
Unaweza piya kuhungana na sisi kupitiya