fizimedia.com,kiswahili Kinshasa: PRM yakataha uhamzi wa korti kuu ya Kongo

Écrit par sur juin 17, 2019

Bahada ya korti kuu ya katiba inchini jamuhuri ya kidemokratiya ya Kongo kutowa uhamuzi wa kumuondowa bwana Kaliba Mulanga kunako idadi ya wabunge wa tarafa la Fizi na kumuweka bi Louise Munga hatimaye wanamba wa mwana siasa huyo wasema kuhendesha mahandamano ili kupinga uhamuzi huo.
Kulingana naye bwana Abedi Asangya ambaye ni mwana memba wa chama hicho cha PRM na ambaye amesikika asuhi kunako idhaa ya kifaransa ya Top congo FM amesema kuwa chama cha Pprd kimetumia siasa mbaya kwakuweza kumfuta bwana Kaliba Mulanga madaraka.
Kulingana na raiya watarafa la Fizi ambao tuliongeya nao walisema kuwa Kaliba Mulanga alikuwa katika siasa nzuri katika muhula huu .
Ivo mahandamo yakukataa madai hayo ya korti kuu ya katiba yaliendeshwa katika eno la kilembwe tarafa fini iliku kuhambiya raisi wa Kongo Felix tshisekedi kuwa raiya wamoja watarafa la fizi awakubaliane na uhamuzi huo.
Hali inakuwa nzuri wakati huu akujawa mahafa kuhusi mandamo ya kukataa matmashi hayo ya korti kuu.

http://www.fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR