Kongo: Kabila la Wanyamulenge laomba serekali ya Kongo kuleta Amani Milimani Mitumba
Écrit par FiziMediaCongo sur juin 10, 2019
https://fizimedia.com/wp-content/uploads/2019/06/images-11808214560.jpeg
Mwandishi: Enoch Aluta David
Kabila la wanyamulenge wa jamuhuri ya kidemokratiya ya Kongo ambalo linahishi katika nyanja za milimani Mitumba tarafani Fizi limeomba serekali ya jamuhuri ya kidemokratiya ya Kongo kudumisha usalama na kuhendelea kupigania haki zao kwani hao ni kabila ndogo na ambalo linachukiwa na makabila mengine inchini kongo jimboni kivu kusini.
Kulingana na moja kati ya viongozi wa kabila hilo ambaye tuliongeya ameimbiya www.fizimedia.com kuwa kabila hilo liko tayari kuhanzisha masemi yakutafuta amani yakudumu na makabila mengine inchini kongo hususani tarafani fizi.
Kabila hilo ambalo linakuwa kunako mstari wa mbele katika makabila ambayo yanakuwa chini ya usimamizi wa umoja wakimataifa ninajihisi kuwa limeachwa na serekali ya kongo.

Makabila mengi inchini kongo yanakuwa yakilazimika kubowa kabila hilo huku wakisema kuwa kuwepo kwa kabila ilo inchini inakuwa chanzo cha Vita ,kwani kabila hilo alijulikane katika historia ya Kongo.
Kabila hilo ambalo wengi ni watusi wanakuwa wahanga wa ubaguzi inchini Kongo.
Unganisha Mwezako na www.fizimedia.com kupiya uwariri wetu wa kiswahili +243991861132
® Kassanga Lùabanya ozo.