Kongo: Kwa nini Moïse Katumbi Aukufika Goma [ www.fizimedia.com kiswahili]

Écrit par sur juin 10, 2019

Mamiya ya wafuhasi wa vyama vya upinzani inchini jamuhuri ya kidemokratiya ya Kongo walifurika kunako uwanja wakimataifa wa Goma ili kumpokea kinara huyo ambaye anaongoza Muhungano wa Lamuka.
Takribani asiliya 1% ya gari za mji wa Goma zilikuwa kunako uwanja wa Goma ili kumlaki Moïse Katumbi.
Moïse Katumbi Ambaye
alikuwa akichungwa kuwasili na saa ine asubui alibadiri mpango Wake mdaa mchache saa tano majira ya hapa Goma mashariki mwa kongo.
Kinara Huyo wa upinzani alihandika kupitiya ukurasa Wake wa tweeter  » kuwa serekali ya Felix Tshisekedi ilimuima ruhusa ya kuruka na ndege yake ili kuwasili Goma ».

Kulingana na habari tulizo zipokea mda mchache kunako uwariri wetu zimesema kuwa shirika la serekeli la RVA lilitowa baruwa iliyo mpa bwana Moïse Katumbi kuwasili Goma tangu tarehe 06 za Mwezi huu wa sita, kusema kweli fizimedia.com tunachunguza kuhusu kwa nini bwana huyo amekataa kufika Goma.

Juweni kuwa ivi sasa ni mara ya pili Mwana siasa huyo anashindwa kuwasili Goma.

Unganishwa na Www.fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR