Misisi: kundi la Mziki la BBC latangaza tamasha kubwa la mziki kuna nini?

Écrit par sur juin 24, 2019

David AlutaWasani wa kizazi kipya wenye kufanya vizuri kwenye soko ya Mziki ndani ya tarafa la fizi jimboni kivu ya kusini wametangaza kuhendesha show kubwa yenye samani ya juu ili kuweza towa samani ya mziki wa tarafa la fizi kunako ngazi ya kimataifa.
Katika maojiano naye Minos moja Kati ya Mashetani hao watatu wa kundi la BBC amahambia gazetti la www.fizimedia.com kuwa ,kundi Letu limehandaa vilivyo show hiyo Kubwa.
Huyo amaita washabiki Waho wote kuja kwa uwingi kusamini kazi ya kundi hilo la vijana wa kizazi kipya Katika soko la mziki tarafani Fizi.
BBC imesema kuwa, show iyo kubwa na kali itatahendeswha ifikapo tarehe 29.06.2019 kunako eneo la piscine ya Bashimboko katika mji wa Misisi huku ticket ikiwa ni pesa 2.000 Fc ya kingo kwa watu wa kawaida na dolla 5$ kwa wenye Mwanzo.
Kweli tunashimu Mungu na tunamtumikia ndivyo alisema Minos.
http://www.fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR