Uvira: Jogoo aliwika mchana kutwa mjini uvira, Tunatengema Jean Jacques Elakano Mtu wa Maendeleo [ Raiya ndani ya Meeting mjini Uvira]
Écrit par FiziMediaCongo sur juin 24, 2019
David Aluta

Mji wa Uvira umeshinda katika hali ya Furaha kubwa baada ya kupokea msafara kubwa Wake rais wa inchi Felix Tshisekedi ambao unahenda unganisha makabila za eneo la Sud Sud la jimbo ya kivu kusini.
http://www.fizimedia.com
Mchana kutwa ma Mia ya wafuasi wa kinara huyo walishinda wakihimba huku mziki, ngoma za asili zikiwa zimepigwa kwa kufara kubwa yakumpokea jean jacques elakano.
Jean Jacques Elakano alitwaha mdaa nakuzungumuza na wakaaji wa muji wa uvira kupitiya meeting huku wa Mia ya raiya wa muji wa Uvira walikuweko.

Raiya wa Uvira wa limonyesha mshauri wa raisi Matatizo yao huku swala kubwa ikiwa ukosefu wa usalama katika eneo hilo la jimbo la kivu ya kusini.
Kwake Mwanashiria jean Jacques Elakano amehomba raiya wa muji wa uvira kutengemea rais Felix Thisekedi ambaye Leo ni mtu wa mabadiliko,amani na mahendeleo ya kudumu.
Ivo baada ya mkutano, raiya wengi wa muji wa Uvira wamasema kuona ndani ya jean Jacques Elakano msimamo wa Amani na Maendeleo ya kudumu na kuwa yeye ndiye anayeweza kuyapeleka mara moja malalamiko yao kwa raisi wa inchi.