Uvira: Jean Jacques Elakano asema kukutana na vikundi vyote vya raiya mjini Uvira.
Écrit par FiziMediaCongo sur juin 22, 2019
Aluta David
Wakati huu ma Mia na ma elfu ya wakaaji wa muji wa uvira wakisubiri kwa hamu kubwa kumuona mshahuri wa raïsi Wa inchi Felix Tshisekedi, Jean Jacques Elakano amesema kuwa atakutana na vikundi vyote vya raiya katika muji huu pale atakapo wasili.
Mwana siasa huyo amesema raisi wa inchi anahendelea kuwaza ni namna gani ataweza kustawisha usalama katika eneo la Mashariki mwa inchi ikiwemo Uvira, Fizi, Mwenga jimboni kivu ya kusini na Bunia mkowani ituri, Beni, butembo jimboni Kivu ya kaskazini.
Katika maojiano naye jean Jacques Elakano ameambiya www.fizimedia.com, ni wajibu Wake raïs kutumika na raiya kwani, « les peuples dabord » ndio fumbo kubwa ya siasa zake mweshimiwa raïs wa inchi. http://www.fizimedia.com
Katika tangazo lililo tolewa kuhusu mpango wa kutembeya kwa Mwa siasa huyo imesekana kwamba, Ataweza pia kukutana na mashirika za kiraiya ili kubuni mbinu mpya za kuweka amani jimhoni Kivu ya kusini.
Unaweza ongeya.