Fizi:Mwili wa mtoto moja mwenye kukadiria na umri wa miaka tano uliogotwa ziwani Tanganyika kijijini lusenda.
Écrit par FiziMediaCongo sur juillet 18, 2019

SIGISA ALEMBE ndilo jina la mtoto aliyefariki dunia jumanne julai 16 mwaka huu jijini lusenda katika groupement ya balala nord ndani ya secta ya Tanganyika baada y’a kuzama katika ziwa Tanganyika.
Kwamujibu wa duru zetu ambazo hazikutaka jina litajwe;kifo cha mtoto uyo wa ukowa banyamuganga Kabila la banyindu kimetokea wakati mamaye alipokua akifua nguo ziwani hapo huku mtoto uyu akiwa akicheza na maji.duru hizo hizo zimetaja pindi mama alipokua akifua alikua ameelekeza macho mjikavu huku mtoto huyo akiwa ziwani swala ambalo lilionekana kua mama asingetambua kinachoendelea nyuma yake kwa kwakua alikua amempa mtoto mgongo wakati alipokua akiendelea na shuguli yake.
Ndipo gafya mama akashtuka kusikia ukimya ukimya umetanda nyuma yake kumbe mtoto alikua alikua amezama nakuaza kunywa maji.
Hali hiyo ilimfanya mama kukimbilia mtoto na kumkimbiza hospitalini akiwa anaangusha kilio.
Muda mchache baadaye mtoto huyo akaaga dunia.
Jitiada zetu zakutafuta viongozi wa serekali wausikanao na maswala ya za maji na wahusika na uxhunguzi kwa kupata maeleao y’a kina kuusu kifo icho cha gafla cha mtoto ziligonga mwamba.
Tukumbushe kua hii si mara kwanza vitendo hivyo vya watoto kufariki majini kuripotiwa kijijini lusenda na katika secta ya Tanganyika kwa ujumla miezi kazaha iliyopita miili kazaa bila uwahi imekutwa imeokotwa baada ya wamoja kukutwa wameliwa na mamba.
©Shandrack MAJALIWA lusenda.
fizimedia.com