GOMA:MSHAKIWA MWENGINE WA EBOLA HOSPITALINI.
Écrit par FiziMediaCongo sur juillet 18, 2019

Dereva mmoja WA maroli yalio kuwa yakifanya kazi YA kibiashara upande WA butembo,masisi na beni ana zaniwa kuwa na virusi vya ebola,wameeleza WA ganga WA hospitalier moja anako lazwa jijini goma mashariki mwa DRCONGO tangu jumatatu julai 15.
Kwa muujibu WA waganga dalili za homa yake kupanda moto kati YA 39 na 40 bila mabadiliko kunafanya ashakiwe.ivo vipimo bado vinaendeshwa ili kubaini Ali iyo.
Mgonjwa huyo ameeleza kufanya siku karibu 90 akifanyia kazi zake eneo ambazo ugonjwa huo unashamiri.
Mtu huyo amegundulika siku moja bahada YA ku ka matwa kwa pasta mmoja aliye kuwa akiubiri uku akiwa mwasirika WA ebola.huyu alipelekwa kunako kituo cha matunzo ya ebola uko butembo,ambakoinaarifiwa kuwa ametoweka mara bahada ya kuingia kituoni.
Ugonjwa wa ebola unatisha na kuogopesha.gavana wa mkoa wa kivu ya kaskazini bwana CARLY NZANZU KASIVITA,amewaomba rahia wagoma kuwa watulivu na kueshimu kanuni za afya kwa kuepuka janga ilo.
Shirika la raia la taja kuwa watu walio na ugonjwa huo wanakuwa na nia mbaya yakutaka kuusambaza katika jiji la goma na bukavu kutoka beni butembo.
Wamezani ilo kwa kile ambacho pasta kujiingiza katika basi ,kwenda kwenye mkutano wa watu kuubiri na kujielekeza bandarini sehemu za watu wengi.
Thomson undji batangalwa william.
fizimedia.com