Fizi-Misisi: Ngunduwa Mwana mziki « B – fiziano original « akiwa na bodyguard Wake

Écrit par sur juillet 21, 2019

Enoch David Aluta

Tarafa la Fizi linakuwa na wasani wengi, lakini kijana B- fiziano original ni moja Kati ya wasani wenye kufanya vema ndani ya ulimwengu wa mziki.
Baada ya kuifunga ngoma yake mpya ambayo imevunja record ya ngoma kali tarafani Fizi yenye kichwa « Ma General » msanii uyo alipewa bodyguard Wake binafsi kwa ajili ya ulinzi Wake wakati msaani uyo anakuwa akikanyaga hip hop kali ya mziki wa tarafa la Fizi.
Katika maojiano na mwamziki huyo wa kizazi kipya amesema kuwa « Tarafa la Fizi linaweza kimziki lakini akuna wa managers wenye mioyo ya kusaidiya na kukubali kazi ya vijana wa nyumbani« .
Bodyguard huyo ambaye anaonekana kuwa mzoefu wa kazi ya ulinzi amesaini mkataba na label ya BBC Band ambayo Ndiyo label kubwa ya mji wa misisi.
BBC band,kundi hilo linakusanya vijana watatu ambao ndio Kama wahanzilishi huku wakiwa na wengine ambao Ndiyo Kama chupukizi.
B fiziano original napenda mashabiki zangu na kazi Yangu ambayo ni kuimba.

http://www.fizimedia.com

Copy right© fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR