TANZANIA NYARUGUSU: KWA NINI RISASI ZA SIKIKA KAMBINI NYARUGUSU USIKU?

Écrit par sur juillet 14, 2019

Fizimedia.com

_Ni zaidi ya wikimbili sasa tangu wakimbizi wa kambini nyarugusu wawe na usalama mdogo.

_Leo tarehe 14/07/2019, kwenye mda wa saa tatu na dakika 33 usiku, imesikika milio ya risasi kwa uwingi na ikawafanya wakimbizi kuwa na wasiwasi mkubwa na kufikiria yametimia._
_ila sio walivyo fikiria bali nirisasi zilizo tokana na majambazi walio vamia kijiji cha F2 kwa mfanya biashara ajulikanae kwa jina la ELIYA, Hadi mda huu hatujapokea taarifa sahii yakujua kwamba walifaulu kumpora ao walikimbua tu baada ya wakaaji kujiyokeza ili kuja kutoa msaada?_.

_Endelea kuwa nasi kwa taarifa kamili, nikumbushe mda huu wa saa 23h:18min yasikika milio miwili ya risasi tena_.

http://www.fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR