Tanzania-Nyarugusu: Polisi Yashutumiwa kila mara tukio zaujambazi zinapotokea

Écrit par sur juillet 14, 2019

http://www.fizimedia.com

_wakimbizi wanyarugusu washutumu polisi kilamara pale ujambazi wakuyumia risasi unapo tokea kambini humo._

_hii nibaada yakugunduwa kwamba kila mara panapotokea matukio hayo yanafuatana na mlio wa gari yahani majambazi yanakuwa yanatumia gari,ikumbukwe kwamba ilikuingia kambini gari zinapita getini na usiku hakuna gari yenye ruusa yakuingia kambini tofauti na gati ya polisi na red cross shirika ambalo linausika na uduma ya afya.

Hapo wakimnizi wanapata ujasiri wakusema majambazi hawatoki nje bali wanakuwa ni mapolisi wenye na baazi ya wakimbizi wenye kukiunga na mapolisi hao_

_Niakikishe kwamba tukio la uporaji huu wa tarehe 14/07/2019, umethibitisha pia hali hii ya ujambazi kuonekana mapolisi wanausika sababu kipindi risasi zinasikika wanajamii walijisikia kujitoa muhanga ili kukimbizana na majambazi cha ajabu gafla polisi walijitokeza badala ya kusaidiana na wanajamii kukimbiza majambazi wao walijifanya kuzuwia wanajamii kukimbizana nawalifu._

_tukumbushe mwaka jana katika uporaji ulopita G1 CLASSE 1 kwenye duka ya mzee ilanga kwenye mda wa saa moja usiku wanajamii waliona live gari yapolisi ikiwa maeneo yale na kupakia na kwenda nao wale waliofanya uhalifu;kwenye kijiji cha F3 ilikuwa hivyo pia , alipo porwa mfanya biashara ajulikanae kwa jina la ELIASER, baada ya yeye kulazimishwa kulala chini na majambazi ili waondoke yeye alipata ujasiri wakuchungulia na kuangalia wanakoenda na atimaye kuwafuata kwa nyuma mwishowe kawaona walivyo ingia ndani ya gari la polisi_

_katika kutoa kwake ripoti kituoni alisema hayo ila hamna atuwa yoyote iliotokea tofauti na kuwaamisha kambini hapo._

http://www.fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR