Fizi: Shirika la ACTED la hendesha mgao wa chakula katika kambi ya Lusenda.

Écrit par sur août 1, 2019

Shandrack MAJALIWA

Mgao uwo umekuja baada ya kuripotiwa usalama ndogo katika Nyanza zajuu ndani ya secta ya Tanganyika kati ya wakulima na wafugaji wenye kumiliki silaa kinyume na sheriya.

Duru tulizo ojiana nazo zimetaja kua wamiaji hao wanapokea mchele,unga,maaragi nguo hema na vitu vingine mbalimbali. walio pata uduma hiyo niwamiaji wote waliyo kimbiliya katika groupement tatu,Balala nord, Basinyaka nord pia na Basimukuma nord.

Mshangao mkubwa wakati wa hayo ni pale waliyo pokea msaada huho wanawalazimishwa kugawa chakula icho jambo ambalo linaleta kutokuelewa kwao na uko wakitaka wakuu wa shirika ilo kuwatatuliya jambo ilo. Jitiada zakutafuta wakuu wa shirika ilo ilikupata maelezo zahidi zilirambuliya patupu. Tukumbushe kua mgao uwo utadumu kwa muda wa siku inne uko kusitishwa siku ya ijumah wiki hii pia mapokezi yanafanyika kijijini lusenda katika groupement balala nord ndani ya secteur Tanganyika.

http://www.fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR