Baraka-Fizi: Chama cha UDPS cha gawanyika, Wana memba wafungwa Baada ya kuhumizana wao kwa wao.

Écrit par sur septembre 22, 2019

Amani M’munga Steven

Wanamemba wa chama madarakani cha UDPS chake Raïs Felixx Tshisekedi katika tarafa la fizi hususani mjini Baraka wameweza kufungwa na vikosi vya akari polisi wa taifa mchana wa leo 22/9/2019 mjini Baraka baada Ya kuleta malumbano Ya wao kwa wao kwenye ukumbi wa mjadala wa parokia moyo Safi wa bikira Maria Baraka.

Kwa habari tulizo nazo za heleza Ya kwamba, wanamemba wa chama cha UDPS waliyo kwenye mlengo wa mshauri wa raisi Félix tshisekedi M Jean-Jacques Elakano na Mbunge Freddy Msambya, na Wale waliyoko kwenye mlengo wa alie kuwa mwenye kiti wa chama hicho tarafani Fizi Bwana RAJABU Malwela, wameweza kuleta vurungu za kupigana wao kwa wao ndani Ya ukumbi wa paroisse katolika mjini Baraka, wakati wanamemba wa UDPS mlengo wa mshauri Jean-Jacques walipo kua katika mjadala wa kuhutubia raia kuusu mambo Ya chama ,ndipo Wale wa mlengo wa RAJABU waliwasili na kuanzisha vurugu ndani yz chumba cha mkutano ,na kuumizana wao kwa wao. http://www.fizimedia com

Mambo ambayo vikosi vya polisi wameingilia kati na kuweka wote korokoroni.

Hali iyo imeuzunisha wanaichi wengi kwa kuona wanamemba wa chama kimoja wakipigana wao kwa wao huku wamoja wakitaja ,kwamba hawa sio wa UDPS na wengine wakisema hawa siyo wa UDPS.

Mengi zaidi ungana na si ivi punde.


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR