Goma: Mwana Bunge Patrick Munyomo asema kuchunga Historia kubwa yake Venant Tshipasa.

Écrit par sur septembre 19, 2019

Enoch DavidPatrick Munyomo Basilwango ni moja Kati ya vijana bunge inchini jamuhuri ya kidemokratiya ya kongo, Leo hii aliwasili hapa Jijini Goma ili kusindikiza mwili Wake waziri wa zamani Venant Tshipasa ambaye alifariki jiji Kinshasa.Katika msafara mkubwa uliyotoka jijini Kinshasa ili kusindikiza mwili Wake Venant Tshipasa, alikuwemo mwana bunge patrick Munyomo ambaye mda mchache alizungumuza na wahandishi wa Habari na kusema kuwa, mwana siasa huyo aliye fariki, ni moja Kati ya watu walio jenga siasa bora ya mawasiliano na watu wote bila kuacha raiya. http://www.fizimedia.comPatrick Munyomo asema kuwa, Tshipasa amefariki huku lakini ameacha mizizi mingi katika siasa za jimbo la Kivu ya kasazini na inchini Kongo na piya ni mfano bora kwa vijana ambao wanaitaji kuanza siasa inchi.Mwana bunge huyo amehakikisha kuwa,ata sindikiza mwili wake Venant Tshipasa hadi tarafani Lubero ambako alizawa.Mchaguliwa huyo wa muji wa Goma ameita raiya wa muji wa Goma kujihunga na familia yake mwana siasa huyo.


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR