Minembwe: CHEF NARIBWINI MUNINGA AME UWAWA NA NGUMINO.

Écrit par sur septembre 12, 2019

Enoch David

Habari zinazo tufikiya kwasasa zinasemekana yakwamba Chef Naribwini amefariki kwakupigwa lisasi wakati alipo taka kimbiliya musituni kwakukimbiya vita vinavyo pitikana mu Haut Plateau territoire ya Fizi na Mwenge commune minembwe.

Vitahiyi inasemwkana kuwa kabila la wa Bembe, wa fuliru na wanyandindu wote wamejiunga na Askiri wakirundi wa Red Tabara , FNL pamoja nawengine kutoka Rwanda wote wanapiga vita kwakabila ya wanyamulenge.

Inasemekana yakwamba , kabila hizo ziri pana pesa elfu tatu zakimarekani (3000$) ili kutafutisha Semahurungure wagumino.
Hizo dollars chef Naribwine ndiye ame itika kuzitowa.

Habari inayo tufikiya inasema kwamba Red Tabara imehusika kumuwua Col. Wagumino ikikamatishwa na jeshi la taifa. Hapo punde walipigia SIM Chef huwo kuwatumiya hizo dollars, basi kwabahati mbaya akakosa hizo pesa.

Kwa leo sasa inasemekana kwamba, Red Tabara pamoja na Jeshi limeusika kumuwuwa Col. Wa gumino, wame muwuwa Chef Naribwini kwakuwa hakupata hizo dollars arizo itika.

Tuwakumbushe kama tangia week inayo pita, vita vianaendele vikiongozwa na Red Tabara pamoja na makabila yanayo shiriki wa mai mai pia nakuungwa mukono kiasiri na makanda wa Jeshi la AFRDC wanao ongoza Jeshi uko Minembwe.

Kwaleo inasemeka kuwa wanabaka wa mama na wasicana nakuwapeleka polini. Wame muteremusha mama moja kwaleo ame bebwa polini. Ma localites mingi na vijiji vingi kunamo ishi wanyamulenge vyote vime cyomwa moto.
Ngombe zipatazo elfu mbiri zimebebwa nawao wa mai mai.

Wakati tuliongeya na muaaji mumoja wa mibunda aliye kimbiliya porini, ame tuzibidisha yakwamba si vita vyarahia kama inavyo semekana, bali ni Genocide inayo anzishwa na Government kwakuunga waasi mkono ili wawashambuliye wanyamulenge nakuwafukuza kwao Minembwe na vijiji vingine.

Habari inaendelea ikisema kwamba kwahii week , jeshi lataifa lime wuwa watu kwenye kijiji cya Karingi wakita kuiba Moto yaraiya.

Kwaleo vita vinazidi kupamba moto na Government ikiangalia bila kutafutisha suruhu kwakukomesha iyo mauwaji.

Zengine habari mutazipata kesho hasubui.


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR