Minembwe: kiongozi wa kijiji cha Ilumba Muninga wabashaga auwawa na Ngumino.

Écrit par sur septembre 12, 2019

Enoch David

Kiongozo wa kijiji cha Ibumba ameuwawa na wahasi wa leo alipokuwa akitokea pa minembwe ku mkutano wa amani ni kiongozi wa Kabila la wa nyindu.
Kulingana na Habari tulizo zipokea toka maeneo hayo ya milima ya Fizi za taja kuwa, hali iyo imejitokeza wakati kiongozi uyo wa Kabila la wanyindu alikuwa akitokea katika mazunguzo ya Amani wakati hui eneo hilo la nyaza za juu likiwa lilekabiliwa na mkasa mkubwa wa mauwaji ya raiya katika vita vya ukabila. http://fizimedia.com
Mpaka sasa makabila mangine ya mesema ku kerwa na tabia iyo chafu ya mauwaji ya viongozi wa Kabila ilo la wanyindu, huku bahada ya mauwaji ya kiongozi uyo wa kijii cha Ilumba, raiya wengi wamedai kusema awaoni mafaa ya uwepo wa vikosi vya MONUSCO katika eneo hilo, na wengine wametaja kuwa ni MONUSCO ndio inawapa waasi wa Ngumino risasi ili waweze kuhuwa raiya.
Eneo hilo la juu la tarafa la Fizi lilekumbwa na mkasa huo mukubwa wa auwaji ya makabili, huku siku chache zipepita, mkuu kiongozi makamo wa shirika la raiya la minembwe aliweza kuhuliwa na Ngumino hadi sasa akuna sheria yote ilichukuliwa na serekali ya kongo zidi ya hali wala sheria kuchukuwa mkondo wake, hata pia akuna vyombo vya Habari vya kimataifa vimesema kuusu hali iyo ikiwemo BBC, VOA, RFI, CNN…
Juweni kuwa, badaa ya vita katika eneo hilo, hatimaye MONUSCO ineweka kambi yake kwa mara ingine katika kijiji cha kipupu ili kuweza kutizama ni namna gani wata weza kuweka Amani katika eneo hilo la milimani.


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR